Mzee wa miaka 98 afunga harusi na nyanya wa miaka 70

  • | Citizen TV
    5,259 views

    Mara nyingi harusi hufanywa na vijana ambao wanaanza maisha ya ndoa . Hata hivyo, katika mji wa kajiado wakongwe wawili ambao wameishi pamoja kwa miaka 54 wamefanya harusi ya kufana na kutoa ushauri kwa vijana kuhusu mbinu za kudumisha ndoa