Rais Ruto asema bei ya mbolea itasalia kuwa chini alipozindua kiwanda cha mbolea Nakuru

  • | Citizen TV
    942 views

    Rais William Ruto amewapa wawekezaji kwenye sekta ya ukulima changamoto ya kuzalisha mbolea inayoambatana na mimea na mchanga wa humu nchini.