Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto arejelea tena matusi kwa wapinzani

  • | Citizen TV
    23,386 views
    Duration: 3:04
    Rais William Ruto amerejelea tena matusi dhidi ya viongozi wa upinzani, akisema muungano huo ni wa watu wasiokuwa na chochote cha kusaidia kenya. Rais ambaye amekuwa kwenye ziara ya kaunti za Migori na Homa Bay leo, aidha aliendelea kuwashambulia vinara wa muungano wa upinzani haswa aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua.