- 400 viewsDuration: 2:48Haya yakijiri, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan sasa ametaka ushirikiano kati ya Kenya na Tanzania katika kukabiliana na uanaharakati wa kidemokrasia kutoka kwa vijana. Rais Samia amesema kuwa mwelekeo mkali na wa pamoja kati ya mataifa haya mawili utasaidia kukabiliana na vijana wanaochipuka kupigania matakwa yao. Hata hivyo, matamshi haya yamekosolewa.