Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014, toleo la mwaka 2023, inalenga kutoa elimu na ujuzi kwa wanafunzi ili kuwaandaa kwa mahitaji ya sasa na ya baadaye katika soko la ajira na maisha kwa ujumla kupitia uhimizaji wa elimu ya ujuzi kuliko kutegemea taaluma pekee. Zaida Mgala aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Uwezo Tanzania linalojishughulisha na masuala ya elimu amesema licha ya sera hiyo kuja na mipango mizuri lakini bado inahitaji kuja na ufafanuzi wa kina wa namna gani mipango hiyo inaweza kutekelezeka.
Ripoti ya Amri Ramadhani, VOA, Tanzania.
#sera #elimu #tanzania #soko #ajira #wanafunzi #teknolojia #waalimu #diploma #voa #voaswahili
16 Jun 2025
- Tanzanian opposition leader Tundu Lissu told a court on Monday he had been denied his basic legal rights and that he would defend himself against a treason charge that carries the death penalty.
16 Jun 2025
- The Director of Public Prosecutions (DPP) has told the court that Nairobi Central Police Station OCS Samson Taalam interfered with crucial evidence related to an ongoing investigation into the death of Albert Ojwang in police custody.
16 Jun 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has urged the Kenyan youth to avoid taking to the streets on June 25 to commemorate the deadly aftermath of the anti-tax protests , warning that there is a plot to kill them.
16 Jun 2025
- Former Chief Justice David Maraga now wants president William Ruto to take action following the heinous murder of teacher Albert Ojwang', saying the buck stops with him as the head of government.
16 Jun 2025
- The government is in the process of reviewing the current labour laws to align them with the emerging issues in the world of work, with an aim of advancing social justice for all.