Kwa takriban mwezi mmoja, Majeshi ya Ulinzi ya Puntland wameripotiwa kusonga mbele kufikia maficho ya wapiganaji wa Islamic State katika ukanda huo, huku kikiwa na mapigano makali hivi karibuni huko Turmasaale, eneo la kimkakati. Licha ya vifo kwa pande zote mbili, wanajeshi wa Puntland wamepiga hatua kubwa, wakikamata maeneo muhimu kadhaa.
Siku ya Jumamosi (Februari 1) Rais wa Marekani Donald Trump alisema aliamuru mashambulizi ya kijeshi kumlenga mpangaji mkuu wa mashambulizi ya Islamic State na wengine kutoka katika jumuiya hiyo nchini Somalia.
Waziri wa Ulinzi Pete Hegseth alisema mashambulizi yalifanywa katika eneo la milima ya Golis na hakuna raia aliyedhurika.
Reuters haikuweza kuthibitisha maelezo hayo.
Afisa mmoja wa ofisi ya rais Somalia, akitaka jina lake lisitajwe, alithibitisha mashambuliz hayo na kusema serikali ya Somalia imeipokea hatua hiyo.
Marekani katika vipindi tofauti imefanya mashambulizi ya anga nchini Somalia kwa miaka kadhaa, chini ya utawala wa Warepublikan na Wademokratik.
(Reuters)
#somalia #is #isis #voa
16 Jun 2025
- Tanzanian opposition leader Tundu Lissu told a court on Monday he had been denied his basic legal rights and that he would defend himself against a treason charge that carries the death penalty.
16 Jun 2025
- The Director of Public Prosecutions (DPP) has told the court that Nairobi Central Police Station OCS Samson Taalam interfered with crucial evidence related to an ongoing investigation into the death of Albert Ojwang in police custody.
16 Jun 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has urged the Kenyan youth to avoid taking to the streets on June 25 to commemorate the deadly aftermath of the anti-tax protests , warning that there is a plot to kill them.
16 Jun 2025
- Former Chief Justice David Maraga now wants president William Ruto to take action following the heinous murder of teacher Albert Ojwang', saying the buck stops with him as the head of government.
16 Jun 2025
- The government is in the process of reviewing the current labour laws to align them with the emerging issues in the world of work, with an aim of advancing social justice for all.