Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wamsuta Duale kuhusu karantini ya Ebola Laikipia

  • | Citizen TV
    1,632 views
    Vinara wa upinzani wamemsuta Waziri wa Afya Aden Duale, kufuatia semi kuwa serikali itaendelea na mipango ya kuanzishwa kwa karantini ya ugonjwa wa ebola katika kambi ya jeshi ihuko Laikipiamlich ay amari ya mahakama kusitisha mipango hiyo. Wakizungumza katika kaunti za Meru na Nyeri, viongozi hao, wameonya dhidi ya kituo hicho kuanzishwa nchini, wakidai njama ya kusambaza ugonjwa huo mlimani, kabla ya uchaguzi mkuu