Wadi mpya yafunguliwa Bwagamoyo

  • | KBC Video
    4 views

    Kina mama wajawazito katika kijiji cha Bwagamoyo wadi ya Mwawesa kaunti ndogo ya Rabai kaunti ya Kilifi sasa hawatahitajika kusafiri mwendo mrefu kutafuta huduma za uzazi baada ya shirika moja lisilo la kibinafasi kujenga wadi ya kujifungulia kina mama.Wadi hiyo ilizinduliwa rasmi na naibu gavana wa Kilifi Flora Chibule aliyeandamana na mkurugenzi wa Koins for Kenya, Jason Suchev katika zahanati ya Bwagamoyo na itahudumia zaidi ya wakazi elf-2.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive