Wagonjwa wa selimundu wataka serikali iwanunulie dawa

  • | Citizen TV
    113 views

    Wazazi walio na watoto wanaougua ugonjwa wa selimundu kutoka mjini mumias kaunti ya kakamega wanaitaka serikali kuwasaidia kwa fedha za kununua dawa.