Skip to main content
Skip to main content

Wahubiri wa madhehebu tofauti watoa taarifa kufuatia kuuawa kwa mhubiri Nakuru

  • | Citizen TV
    1,324 views
    Duration: 1:06
    Siku moja baada kasisi Julias Ndumia wa kanisa la PCEA Tabuga eneo la Dundori, kaunti ya Nakuru kuuwawa na majambazi, wahubiri kutoka madhehebu tofauti kaunti ya Nakuru wanaitaka serikali kuhakikisha uchunguzi umefanywa na kuhakikisha wahusika wote wamekamatwa na kushtakiwa. Wakizungumza hii Leo mjini Nakuru, wahubiri hao wameshutumu tukio hilo na kutaka vyombo vya Usalama kuimarisha usalama Katika eneo hilo na pia kuhakikisha kuwa familia ya marehemu imepata haki...