Wahudumu wa bodaboda na madereva mjini Maralal, walalamikia ongezeko la ajali za Kila mara

  • | Citizen TV
    519 views

    Wahudumu wa bodaboda na madereva wa Magari ya uchukuzi Mjini Maralal, wanalalamikia ongezeko la ajali za Kila mara kutokana na ubovu wa barabara mjini humo. Barabara za kuingia na kutoka mjini Maralal ziko katika hali mbaya huku shimo zikiwa Kila mahali. Hali hiyo inayoathiri uchukuzi na kuchangia ajali hizo. Idara ya Trafiki ikikiri kunakili ongezeko la ajali za pikipiki Kwa asilimia ishirini.Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.