Wakaazi wa kijiji cha Chirima walalamikia unyakuzi wa ardhi yao Diani

  • | Citizen TV
    237 views

    Wakaazi wa kijiji cha chirima eneo la Tiwi kaunti ya Kwale wamelalamikia unyakuzi wa ardhi iliyo kwenye harakati ya kufanyiwa usorovea na serikali ili wenyeji wapate hati miliki. Ardhi hiyo wanayodai inanyakuliwa na mabwanyenye iko kwenye sehemu ya ardhi ya ekari 960.