Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Nyamira wapinga vipengee vya mswada wa fedha 2026

  • | Citizen TV
    109 views
    Wakazi wa kaunti ya Nyamira wamepinga baadhi ya vipengee vya mswada wa fedha wa mwaka 2026 wakidai vitawaumiza wananchi wa kawaida ambao tayari wamelemewa na mzigo mzito wa ushuru. Wakazi hao wamepinga ushuru unaotozwa bidhaa na huduma za fedha kidijitali. Wakazi hao pia wamelalamikia muda mfupi uliotengwa kwa zoezi la kutoa maoni.