Wakfu wa Safaricom MPESA umezindua shule ya walemavu wa kusikia huko Sabatia kaunti ya Vihiga

  • | Citizen TV
    48 views

    Wakfu wa Safaricom MPESA umezindua shule ya walemavu wa kusikia huko Sabatia kaunti ya Vihiga. Shule hiyo imekarabatiwa na wakfu wa Safaricom MPESA na shirika la ushiriki wema pamoja na hazina ya ukumbusho wa Mudavidi kwa gharama ya shilingi milioni 50.