Wako wapi wanaharakati hawa wa Kenya?

  • | BBC Swahili
    49,685 views
    Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu wametoa wito kwa serikali ya Tanzania kutoa taarifa kuhusu waliko wanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda. #bbcswahili #diratv #wanaharakati #tanzania #kenya