Wakulima walalamikia bei duni ya mahindi Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    263 views

    Viongozi kutoka kaunti ya Trans Nzoia wanasema, Wakulima wa mahindi katika kaunti hiyo tayari wameanza msimu wa mavuno, wakiitaka serikali kuhakikisha wanapata bei nzuri kwa mazao yao.