Walimu wanaofunza wanafunzi walemavu watisha kugoma

  • | Citizen TV
    127 views

    Walimu wanaowafunza watoto walemavu sasa wametisha kutatiza masomo endapo serikali haitazingatia nyongeza ya mishahara kwao.