Wanawake wafugaji waanzisha miradi Laikipia

  • | Citizen TV
    65 views

    Wanawake eneo bunge la Laikipia Kaskazini kaunti ya Laikipia, wamejitosa katika ufugaji wa nyuki, ushonaji shanga na utalii ili kutokomeza umaskini . Wanawake hao kutoka jamii za wafugaji walikuwa wakitegemea wanaume kwa mahitaji yao ila sasa wanaweza kukidhi mahitaji yao ya kila siku zao na kulipa karo kwa watoto wao.