Watu watatu wafariki kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Fortenan

  • | Citizen TV
    4,484 views

    Watu watatu wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Fortenan kwenye barabara ya Londiani-Muhoroni.