Wazee na wakazi wa Isiolo wakagua miradi iliyokwama Isiolo

  • | Citizen TV
    426 views

    Baadhi ya wazee na wakaaji wa Isiolo wamefanya ukaguzi wa miradi inayoasisiwa na serikali ya kaunti hio ili kutaka kujua kama kauli ya kamati ya utumizi wa fedha za umma katika bunge la seneti kwamba miradi hiyo imekwama ilikuwa ya ukweli.