Skip to main content
Skip to main content

West Pokot: wakazi na viongozi wataka kuhusishwa katika mradi wa Ngamia 1

  • | NTV Video
    1,987 views
    Duration: 2:44
    Huku mipango ya kuchimba mafuta katika eneo la Ngamia 1, Lokichari, Kaunti ya Turkana ikiendelea, wakazi na viongozi kutoka kaunti jirani ya Pokot Magharibi wamelalamikia kutengwa kwao kupata mgao kwenye mradi huo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya