
15,036 views
Buibui 3,000 wakamatwa wakisafirishwa ndani ya soksi
Katika tukio lisilo la kawaida, mamlaka ya nchini Peru zimewakamata raia watatu wa kigeni waliokuwa wakijaribu kusafirisha kimagendo zaidi ya buibui 3,000 aina ya tarantula, wakiwa wamewaficha ndani ya soksi kwenye mizigo yao. Buibui pamoja na mayai ya buibui, yalinaswa uwanja wa ndege wakati washukiwa hao wakijiandaa kupanda ndege kuelekea Ujerumani. Lakini kwa nini walikuwa wakisafirisha buibui hao? Phillys Mwatee š„: @brianmala #bbcswahili #fyp #peru #buibui Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.