
8,425 views
Kijana aliyepotea siku sita msituni apatikana hai
Kijana wa miaka 17 amepatikana akiwa hai ikiwa ni siku ya 6 baada ya kupotea kwenye msitu mnene huko Australia. - William alipotezana na rafiki yake walipokuwa kambi jambo lililosababisha msako uliohusisha watu, helikopta na mbwa wa polisi. - Baada ya siku sita za utafutaji, timu ya uokoaji iliyokuwa kwenye helikopta ilifanikiwa kumuona na kumuokoa. - Alikutwa akiwa amelala kando ya mto huku akiwa na taulo, blanketi na pakiti moja ya crisps. - Kwa sasa yuko salama, na tayari amepelekwa hospitalini kwa ajili ya matibabu zaidi. - - - #bbcswahili #australia #kijanaporini #william
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.