
6,655 views
Akwama angani kwenye nyaya za umeme kwa saa tatu
Mwanaume mmoja kutoka Urusi aliyekuwa akicheza mchezo wa kuruka angani kwa kutumia parachuti maalumu alipata ajali na kujikuta amekwama kwenye nyaya za umeme. Alining'inia kwenye nyaya hizo kwa karibu saa tatu, akiwa umbali wa mita 76 kutoka ardhini huko Mandi, kaskazini mwa India siku ya Novemba 10 Waokoaji walitumia winchi maalumu na kifaa kilichotengenezwa kwa dharura kumshusha salama. Baadaye alipelekwa hospitalini kwa matibabu. Ungekuwa wewe ungefanyaje hapo? #bbcswahili #india #parachuti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono