
15,228 views
Je hali ya joto iupoje mtaani kwako?
2026 huenda ukawa mwaka wenye joto kali zaidi kuwahi kurekodiwa duniani, huku ongezeko la joto linalosababishwa na mabadiliko ya tabianchi likiungana na athari za El Niño. Wanasayansi wanaonya kuwa hali hiyo inaweza kuongeza matukio ya hali mbaya ya hewa, yakiwemo mawimbi ya joto na moto wa misituni. Asha Juma anaelezea zaidi #bbcswahili #elnino #haliyahewatanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV