
17,714 views
El Niño ya 1877: Janga Lililoua Watu Milioni 50 na Kuletea Dunia Njaa Kubwa Zaidi!
Je, El Niño ya mwaka 1877 ilichangia vipi vifo vya watu milioni 50, takriban asilimia 3 ya idadi ya watu duniani wakati huo? Wakati dunia ikikabiliwa na El Niño ya kiwango cha rekodi, tunazungumza na wanahistoria na wanasayansi kuhusu kilichotokea mwaka 1877 na masomo tunayoweza kujifunza kutoka kwa mojawapo ya majanga mabaya zaidi yanayohusiana na hali ya hewa kuwahi kurekodiwa. Tunafafanua El Niño ni nini na jinsi wanasayansi wanavyodhani dunia inayozidi kuwa na joto inaweza kuathiri matukio ya baadaye. Yaliyomo katika video hii 00:00 Je, hii inaweza kuwa El Niño yenye nguvu zaidi kuwahi kurekodiwa? 01:14 El Niño ni nini? 02:16 El Niño huathiri vipi hali ya hewa duniani? 02:50 Ni maeneo gani huathiriwa na El Niño? 03:23 “Super El Niño” ni nini? 04:51 El Niño ya mwaka 1877 ilikuwa na nguvu kiasi gani? 07:46 El Niño inaweza kuathiri vipi usambazaji wa chakula duniani? 08:09 Ni nani huathirika zaidi katika majanga ya tabianchi? 08:27 Je, mabadiliko ya tabianchi yanaifanya El Niño kuwa mbaya zaidi? 09:13 Nchi zinawezaje kujiandaa kupunguza athari za El Niño? #ElNino #MabadilikoYaTabianchi #HaliMbayaYaHewa #MaelezoYaHaliYaHewa #Tabianchi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono