
13,868 views
Walinzi wawili wazimia wakati Macron akimpokea Rais wa Slovakia mjini Paris
Walinzi wawili wa heshima wa Ufaransa walipoteza fahamu na kuanguka chini wakati wa hafla ya kumpokea Rais wa Slovakia, Peter Pellegrini, katika Ikulu ya Élysée mjini Paris. Mlinzi mmoja alianguka mbele ya kamera ambapo Rais Emmanuel Macron pamoja na wafanyakazi wa ikulu walikimbilia kumsaidia. Mlinzi wa pili naye alianguka na kuzimia, lakini tukio lake halikuonekana kwenye kamera. Walinzi wote wawili walipatiwa msaada haraka na kwa mujibu wa chanzo cha Ikulu, hali yao ilikuwa nzuri. Haikuelezwa sababu haswa ilikuwa nini #bbcswahili #ufaransa #emmanuelmacron Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono