
15,654 views
Vinícius Júnior amgusa mtoto aliyepoteza miguu yote Sudan
Zaher alipoteza miguu yake yote miwili kufuatia shambulio la ndege isiyo na rubani wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Khartoum nchini Sudan. - Alikuwa anapenda kucheza soka na tangu tukio hilo, ndoto yake ya soka ilififia hadi pale kampeni ya kuchangisha fedha ilipofanyika na kumwezesha kupata matibabu maalumu mjini Cairo, Misri, na kutimiza ndoto yake ya kupata miguu bandia. - Sasa, mchezaji anayempenda zaidi Vinícius Júnior amemwalika kuhudhuria mechi ya Real Madrid na kukutana naye ana kwa ana. - - - #bbcswahili #zahermisri #realmadrid #viniciusjunior Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono