
10,537 views
Teknolojia mpya ya kupata watoto bila tendo la ndoa wala IVF
Teknolojia ya seli shina inaweza kubadilisha namna binadamu wanavyopata watoto, ikiwemo kutengeneza mayai na mbegu za kiume kutoka kwenye seli za ngozi. Je, siku zijazo itawezekana kupata mtoto bila tendo la ndoa au IVF? Maendeleo haya yanaibua matumaini lakini pia maswali mazito ya kimaadili na usalama. Asha Juma anaelezea #bbcswahili #teknolojia #sayansi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.