
7,583 views
Idadi ya wanaoishi bila kusajili ndoa rasmi yaongezeka nchini Kenya
Idadi ya wapenzi na watu wazima wanaoishi bila ndoa inaendelea kuongezeka kwa kasi katika mataifa mengi ya Afrika na duniani kote. Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha mabadiliko makubwa ya kijamii ambapo vijana na watu wazima wengi wanachelewa kuoa au kuolewa,au wanachagua kuishi pamoja bila ndoa rasmi. #bbcswahili #ndoa #familia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.