
16,881 views
Ndege ya British Airways yagonga njia ya kutua kwa mkia mara mbili
Tazama ndege ya British Airways ilivyopata wakati mgumu wa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Heathrow, nchini Uingereza, huku mkia wake ukionekana kugonga njia ya kutua mara mbili. Hali hiyo iliwalazimu marubani kusitisha jaribio la kutua na kuipandisha tena ndege angani ili kujaribu kutua upya. Katika jaribio la pili, ndege hiyo ilifanikiwa kutua salama bila taarifa za majeruhi. Tukio hilo lilitokea Novemba 12, 2026, wakati ndege hiyo ikiwa kwenye safari kutoka Amsterdam kuelekea London. #bbcswahili #uingereza #britishairway Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono