
10,855 views
Papa Leo XIV apigwa usoni na rozari alipokuwa akisalimia watu
Papa Leo XIV alirushiwa rozari usoni karibu na jicho kutoka kwenye umati wa watu alipokuwa akisafiri ndani ya gari maalumu la wazi la Papa jijini Lima, nchini Peru. Hakukuwa na dalili zozote zilizoonyesha kuwa Papa huyo alipata majeraha kutokana na tukio hilo. Katika mahubiri yake, Papa Leo XIV aliwashukuru wananchi wa Peru kwa ukarimu wao wakati wa ziara yake ya siku sita nchini humo na kusema kuwa ni nyumbani kwake Peru, ambako Papa huyo aliishi kwa zaidi ya miaka 20 akifanya kazi za umisionari, ilikuwa kituo cha mwisho cha ziara yake ya kihistoria ya siku 12 katika mataifa ya Amerika Kusini. #bbcswahili #papaleoiv #papa #romancatholic #peru Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono