
4,029 views
Mamilioni ya kaa wekundu wafurika barabarani kuelekea baharini
Maelfu ya kaa wekundu wameanza safari yao ya kila mwaka ya kuhama makazi katika Kisiwa cha Christmas nchini Australia. Kaa hao huhama kutoka kwenye misitu na kuelekea baharini kwa ajili ya kuzaliana. Ni tukio la kushangaza ambapo kaa hao hufurika barabarani na njia mbalimbali wanaposafiri kuelekea baharini. #bbcswahili #australia #khaa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.