
5,706 views
Waridi wa BBC: mlipuko wa gesi uliobadilisha maisha ya Alice Chesoliny
Simulizi ya Alice Chesoliny, ambaye mlipuko wa gesi nyumbani ulimbadilishia maisha baada ya kupata majeraha ya kuungua, ni ushuhuda wa maumivu, ujasiri, uvumilivu na nguvu ya kuanza upya licha ya changamoto za maisha. Akizungumza na mwanahabari Asha Juma, Alice anasimulia jinsi tukio hilo lilivyotokea, safari yake baada ya ajali na namna alivyojipanga kuendelea na maisha. Tazama simulizi yake kamili kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #kenya #warisiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV