
724 views
'Baada ya kulipukiwa na gesi mtoto wangu hakunitambua' - Alice
Tazama simulizi ya Alice Chesoli akihadithia alivyolipukiwa na gesi mwaka 2017 na kubaki na kovu mwilini na moyoni mwake maishani. Alice anamsimulia mwandishi wa BBC Asha Juma, kuwa alikuwa amerejea nyumbani kutoka kazini pamoja na mume wake kama kawaida. Wakiwa wamechoka baada ya siku ndefu ya kazi, walijipanga kumhudumia mtoto wao mdogo kabla ya kupumzika. Mume wake alimwambia amchemshie mtoto maziwa, naye akaenda dukani, anasimulia. Lakini alipofika kuwasha jiko la gesi, mambo yalibadilika ghafla. Kumbe nyumba ilikuwa imejaa gesi bila wao kujua na hapo ndipo historia yake ikabadilika. #bbcswahili #moto #podcast #ajali #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.