
7,200 views
Trump asinzia wakati Rais wa China, Xi akizungumza
Rais wa Marekani Donald Trump azua gumzo baada ya kunaswa akiwa amefumba macho wakati Xi Jinping akihutubia. Wakati Rais wa China Xi Jinping akitoa hotuba mbele ya viongozi wa dunia, kamera zilimnasa Donald Trump akiwa amefumba macho na kichwa kimeinama. Video hiyo imesambaa mtandaoni na hata wapinzani wake wameitumia kumkejeli. #bbcswahili #trump #xijinping #putin Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono