
11,103 views
Angel Wariael afariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi
Kifo cha Angel Wariael, binti aliyepigwa risasi na kujeruhiwa Oktoba 29 kimeibua huzuni na simanzi miongoni mwa Watanzania. Angel, alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya kujeruhiwa kwa risasi wakati wa matukio ya Oktoba 29 akiwa nyumbani kwao Manzese Kifo chake kilithibitishwa Novemba 18, 2026 na Hospitali ya Taifa Muhimbili. Munira Hussein anaelezea 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #oktoba29tanzania #matukioyauchaguzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.