
13,843 views
Je, ungelipa kuajiri bridesmaids na groomsmen kwa ajili ya harusi yako?
Nchini Tanzania, kikundi kimoja cha kitaalamu kinaibua mtindo mpya wa sherehe za harusi — kikitoa bridesmaids na groomsmen waliopangiliwa, mavazi yanayolingana, dansi za mazoezi maalum na burudani muda wote. Lakini si burudani pekee. Kikundi hiki pia kinawapa vijana fursa ya kupata kipato kupitia huduma za harusi. Wewe ungewaajiri kwa harusi yako? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono