
60,638 views
Matuki yaOktoba 29 Tanzania: Familia bado zinamaumivu
Mwaka mmoja baada ya maandamano na ghasia kubwa zilizofuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania, familia zinaendelea kuomboleza wapendwa wao waliouawa katika machafuko hayo, huku manusura wengine wakiishi na majeraha yaliyobadilisha maisha yao ikiwa ni pamoja na kushindwa kujigharamia matibabu. Ripoti mpya ya Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International imeishutumu serikali kwa kushindwa kuwawajibisha waliohusika na vifo vya waandamanaji jambo ambalo serikali ya Tanzania imekua ikikanusha. Mamlaka nchini Tanzania hazikujibu ombi la BBC la kuhusu madai hayo. Mwandishi wetu Alfred Lasteck amezungumza na familia ambazo bado zinatafuta haki na majibu kuhusu wapendwa wao waliopotea #bbcswahili #tanzania #oktoba29 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono