Mashirika yasisitiza kuwekwa kwa mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya hewa

  • | Citizen TV
    66 views

    Mashirika ya kijamii katika eneo la Pwani yametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kuharakisha utekelezaji wa mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya hewa.