Waziri wa utumishi wa umma Aisha Jumwa azindua hazina ya wajane

  • | Citizen TV
    1,172 views

    Waziri wa utumishi wa umma na jinsia Aisha jumwa amezindua hazina ya kuwasaidia wajane kote nchini. Uzinduzi huo ambao umefanyika eneo la magarini kaunti ya Kilifi inatazamiwa kuwainua kimaisha wajane. Hundi ya shilingi milioni 7.2 zimetolewa kwa vikundi mbalimbali.