NCIC yamtaka Farah Maalim kufika mbele yake baada ya matamshi ya uchochezi

  • | TV 47
    8 views

    Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa (NCIC) imemtaka mbunge wa dadaab Farah Maalim kufika mbele yake. Makataa ya ncic imetoka baada ya video kusambaa kwenye mitandao, ambapo farah maalim anaonekana kutoa matamshi ya uchochezi dhidi ya waandamanaji.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __