Familia ya Denzel Omondi Onyango inalilia haki

  • | Citizen TV
    706 views

    Familia ya Denzel Omondi Onyango ingali imeshikilia msimamo kuwa mtoto wao aliuawa. Mwili wa mwanafunzi huo chuo kikuu ulipatikana umetupwa kwenye kidimbwi huko juja wiki moja baada ya kutoweka. Kijana huyo alikuwa miongoni mwa wale walioingia kwenye majengo ya bunge wakati wa maandamano.