Familia ya Lucy Wambui, mwanamke aliyefariki baada ya kufanyiwa upasuaji wa kimapambano yalilia haki

  • | Citizen TV
    6,763 views

    Familia ya Lucy Wambui Ng'anga, mwanamke aliyefariki baada ya kufanyiwa upasuaji wa kimapambano sasa inalilia haki kutoka kwa hospitali iliyohusishwa na upasuaji huu. Familia yake ikilaumu kituo cha Body by Design kwa makosa yaliyosababisha kufariki kwa jamaa yao. Na kama Ode Francis anavyoarifu, upasuaji wa maiti unaonyesha kuwa Lucy alifariki baada ya sehemu za utumbo wake kupasuka