Kampuni ya Kenya Power tatakiwa kufanya ukaguzi wa umeme katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    285 views

    Kampuni ya kusambaza nguvu za umeme nchini tawi la Samburu imetakiwa kuendesha ukaguzi katika shule mbali mbali kaunti hiyo ili kuzuia Mikasa ya moto ambayo imekuwa ikishuhudiwa.