Kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Nakuru Alex Lang'at atimuliwa mamlakani

  • | Citizen TV
    283 views

    Kiongozi Wa Wengi Katika Bunge La Kaunti Ya Nakuru Alex Langat Ametimuliwa Na Wawakilishi Wadi Wa Chama Cha Uda Huku Nafasi Hiyo Ikichukuliwa Na Mwakilishi Wadi Wa Keringet William Mutai.