LSK yawasilisha hoja ya kuwaondoa kwenye sajili

  • | Citizen TV
    1,052 views

    Chama cha mawakili LSK kimewasilisha hoja ya kutaka kuwandoa Naibu Rais Kithure Kindiki na waziri wa usalama Kipchumba Murkomen, kutoka kwenye sajili ya mawakili