Skip to main content
Skip to main content

Majonzi makafani Naivasha huku familia za Utumishi zikipokezwa matokeo ya DNA

  • | Citizen TV
    25,709 views
    Duration: 4:19
    Huzuni na Majonzi zilihanikiza katika makafani ya hospitali ya rufaa ya Naivasha ambapo familia za wanafunzi 16 waliofariki kwenye mkasa wa moto katika bweni la shule ya wasichana ya Utumishi zilipokezwa matokeo ya vipimo vya msimbojeni na kuona mabaki ya miili ya wana wao. Familia moja iliruhusiwa kuchukua mwili kwa mazishi kulingana na dini ya kiislamu. Hata hivyo familia 15 zilizosalia zitalazimika kusubiri zaidi huku serikali ikipanga ibada ya pamoja ya wafu kabla ya kuruhusiwa kuwazika wapendwa wao.