Skip to main content
Skip to main content

Mwanaume apatikana akiwa mfu baada ya kutoweka miaka 30

  • | Citizen TV
    14,737 views
    Duration: 2:47
    Mwili wa mwanaume aliyetoweka nyumbani kaunti ya Narok zaidi ya miaka 30 iliyopita, wapatikana katika makafani ya makadara jijini Mombasa. Marehemu Victor Kibet adaiwa kutoweka mwaka 1994 familia wasijue alikoenda kabla ya kumtambua kupitia picha mtandaoni. Familia yaasema wamekuwa wakimtafuta bila ya mafanikio.