Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa KMTC afariki baada ya kudaiwa kusukumwa kutoka kwa matatu

  • | Citizen TV
    34,858 views
    Duration: 3:12
    Familia ya Eugene Mutuku, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 19 katika KMTC, inadai haki kufuatia kifo chake baada ya kudaiwa kusukumwa kutoka kwenye matatu katika Barabara ya Thika. Mutuku aliaga dunia akipokea matibabu katika Kenyatta National Hospital. Dereva na kondakta wa matatu hiyo bado hawajapatikana huku gari hilo likipatikana limeachwa eneo la Kariokor jijini Nairobi.